Jumapili, 4 Julai 2021

FUNDI WA COMPRESSOR (FUNDI COMPRESSOR)

FUNDI WA KUKARABATI MASHINE ZA KUFUA UPEPO.(air compressor mashine)
SERVICES:-
Kushindwa kufua upepo
Kugonga (knocking)
Kuweka spacers..nk

Contact me at. +255659247317
                           +255747126584
Dar es salaam,Tanzania

Jumapili, 14 Julai 2019

KANIKI

Maisha hayakupi unachokitaka bali unachokitafuta...#sumu

Leo mnanipa dawa ya meno kesho mnaning'oa meno.

26# #26number  #kanikiworks #kaniki

Jumapili, 9 Juni 2019

MAFUNDI WA MAGARI

Mafundi wa magari tunapatikana ukonga, Pugukajiungeni...tupigie kwa namba

👉+255656853060
👉Email:- lucaskaniki666@gmail.com
Dsm , Tanzania

Jumatano, 13 Machi 2019

ELEWA KUHUSU "LUCID DREAM"

Lucid Dreams Ni Pale Mtu Anapoota Na KujuaKwamba Naota Yani Yupo Ndotoni.. Na Ndani Ya Ndoto Ile Akajielewa Kwa HumuNaota Na Kufahamu Kwamba Hapa Nilipo Nimelala Na Humu Nilimo Ni Ndotoni Nakuanza Kuenjoy Mazingira Ya Mule Ndotoni Na Kufanya Mengi Atakayo

Lakini Pia Kuna Watu Huota Na Kujijua kwamba Wanaota Bila Mazoezi Ya Lucid Dreams lakini Inakuwa Sio Kama Lucid Dream Vile Utakavyo Vifanya Hakuna Tatizo Lolote Unaloweza Kulipata Ndotoni Kwa Maana Ni Ubongo Wako Ndio Ufanyao Kazi..

JE NI FAIDA ZIPI ANAZOZIPATA LUCID DREAMER ?

1: Maajabu Na Miujiza Kibao
2:kuzishinda ndoto za kutisha
3: Ubunifu Na Kuondosha Matatizo
4: kujiponya
5: Mambo Mengi Yaliyopita
6: Kupata Muongozo what He Was Meant To be.. 7: Kuliwazika Na Ndoto Zake
8: Kuongeza Uelewa Wa Maisha Yake Yakimapenzi
9: Kupata Uchangamfu Siku Nzima
10: Kusaidia Kuwasiliana Na Roho ZaWaliotangulia Mbele Za Mungu
11: Kwa Wanaofanya Meditation HuwasaidiaKuongeza Awareness Katika Meditation

Zipo Faida Nyingi Lakini Hizo Ni ChacheZibebazo Topic......

Kwanini Nifanye Lucid Dreams?

Ni Swali La Wengi LakiniChunguza Faida Zake Zikikuvutia utafanya lakini pia Hukusaidia Kufanya MengiAmbayo Unawish Ungeweza Kuyafanya Katika Ulimwengu Wa Kawaida Kama Vile:

1: Kupaa
2:kupongezwa
3:kupata chochote kile unachohisi in real world hukipati

Wengi Huingia Kuuliza Power Zao Wapi Wataweza Kuhunt MoneyNa Starehe Lakini Kuna Mazuri Zaidi Ya Hayo Kwanza Ukishajua Hapa Naota Na Nimo Ndotoni Utatamani Uzunguke Dunia Nzima But Mengi Huwa Ni Kweli Kwa MaanaUnakuwa In Spirit Form Au Thought Waweza Kwenda Popote Kula Lolote Na KufanyaChochote Kuna Faida Nyingi Sana Do It And You Will Feel It

Vivutio Vya Wengi In Lucid Dream World:

1: Maajabu Na Miujiza:

Hii Huwavutia Wengi Kuingia Kudiliki Kufanya Mazoezi Yalucid Na Kufanya MAajabu Mengi Ya Ndotoni
Wengi Hudiliki Kutoa Hadithi Walizotengeneza Kwenye LucidDreams NA Kuziandika In Real World Kama

1: TheWachowskis: Alieandika Movie Ya Matrix Kama Umewahi Kuiona..
2: Lewis Carroll:Alieandika Novel Ya Alice In Wonderland..

Tafuta HizoMovies Na Novels pia Zitakupa Idea Kuhusu Lucid Dream..

2: Kuzishinda Ndoto Za Kutisha Na Kipumbaff

Hapa Unakuta Unaota Unafukuzwa Let say Mfano Unahisi KukimbizwaNa Watu NA Huu Ni Ugonjwa Wa Wengi Let Say Umeweza Kuingia Lucid Dream State.

Na Ukajijua Unaota Wengi wakijua wanaota huanza kupigana na majinamizi au wachawihao ambayo pia inakuwa ni ujinga hali ume realize unaota unasimama tuunaamrisha zina disappear na unaamuru nini cha kufanya au kujiamsha]; Nice Isnt It ?

3:Problem Solving:

Wengi Matatizo Yakiwakaba Hukimbilia Kusubiri ItakavyokuwaLakini Ni Udumazaji Wa MAwaza Ukiingia Lucid NA kuanza Kujisolvia Tatizo LakoUtapata Muongozo Mwisho Wa Siku Unafanikiwa?

JE Wajua Niliwahi Kujifunza kingereza Cha Kuunga UngaKupitia lucid Dreams???

4: Healing/Kujiponya:

let Say UmeumwaKichwa Au Mwili Mzima Kwa Wanaofanya Meditation Tuassume Unaumwa MaraliaUnaingia Lucid hukusaidia Kuopen Third Eye Na Kufungua Chakra Zingine If OnlyUnameditate In Dream Na Umelala Unaota Umelala Chali You Will Wake Up Healed OrReduce Pain Maana Tunaumia Kutokana Na Ubongo Kutambua Tumeumia.. naHatufanikiwi Kutokana Na Ubongo Umeamua Hatufanikiwi Kweli.

Ni Maelezo Marefu Mengine Tutaendelea Naangalia ItapokelewaVipi Hii Mada hapa Kwanza];

Bila Kupoteza Muda Wacha Tuingie Jinsi Ya Kufanya Zoezi IliTujue Zaidi Nini Tutapata Na Je Tutafika MAelekezo Ya Rakims Yanavyokwenda ?

JINSI YA KUFANYA LUCID DREAM KWA BEGINNERS:

Waweza Kujiandalia Mazingira Yako Ya Kupata lucid Dream naIkaleta effect Upesi Zaidi UNachotakiwa kufanya Ni kuandaa Daftari Lako LaKufuatilia Ndoto Unazoota Na Mara Kitu Kikikutokea Cha ghaafla penda sanakujiuliza hivi naota au?

Penda sana pindi unapojiangalia kwenye kioo ukijionajiulize pia naota Au? Lakini Ukiiona sura yako kwenye kioo means huoti nausipoina jua upo ndotoni Ni Ngumu Kidogo Kujua Kama Unaota au laa lakini KwaMazoezi Utajua tu

Hatua Za Kufuata:

1: Utatakiwa Upate Kitabu Cha Ndoto Zako Counter ook DreamJournal

2: Saa Ya Alarm

Step ya Kwanza:

Weka daftari yako pembeni ya ulalapo ili uweze kuandika kilakitu ambacho utaota usiku wote

Step Ya pili:

Angalia kitabu chako kioo na saa yako mara kadhaa kwa sikumaana ndotoni hizi zote huwa tofauti ndotoni maana huyumba yumba nakutoeleweka.. jifinye finye sehemu za mwili ili kitokea unajifinya ndotonihuumii basi unajua humu nimeingia ndotoni..

Step ya Tatu:

Ukienda kukidandia kitanda jiambie nikiota leo lazima tajuatu fanya kama command ubongoni kwamba nikiota tajua tu

Step Ya Nne:

TEgesha Alarm Yako Mapema Zaidi Ya Kawaida Na Ikilia subiridk kama sita halafu urudi tena kulala kufanya hivi utakuwa umeongeza asilimiaza kupata lucid dream 20% hadi 50%

Step Ya Tano:

Ukihisi Umeingia Kwenye Lucid Dream Jaribu Kupaa Juu Juu iliKuthibitisha Hili

Paa juu ya milima.. Pia Jaribu Kupika Hesabu Ambazo HuwaZinakushinda Na Maswali Yakushindayo Kujibu.. Jaribu Kufikiria Ndugu Yako GaniUmpendae Ametangulia Mbele YA Haki Na Kuongea NAe Akirespond Kile UmemuulizaBasi Jua Unaanza Kuingia Lucid Dream World

N.b

Jambo La Kuzingatia Hapo Ni Pale Unapoenda Kulala HakikishaHujikuni Ovyo Wala Kujigusa Gusa popote Ukilala lala Ubavu Mmoja Huo Huo IliUweze Kufanya Mwili Ujue Umelala Hali Ya Kuwa Upo Macho

Itaendeleaaaaa!

Dondosha comment apo👇

Jumatatu, 2 Julai 2018

TIME TRAVELERS (mtu anaeishi vizazi tofaut)

Katika sintofahamu imepatikana picha ya ndugu Lucas Kaniki ktk maktaba ya vizazi vilivyopita....na pia apo ktk mwaka wa 1982 pia imepatikana picha akiwa ktk umri wa kijana...Inasemekana watu aliokuaga nao wengi kwa sasa ni wazee(vikongwe)ila yeye yupo ktk mwonekano wa kijana bado...Wataalam wa mambo wanadai huenda uyu mr Kaniki ni Time traveler... wengine huisi labda ni vampire.