Jumatatu, 2 Julai 2018

TIME TRAVELERS (mtu anaeishi vizazi tofaut)

Katika sintofahamu imepatikana picha ya ndugu Lucas Kaniki ktk maktaba ya vizazi vilivyopita....na pia apo ktk mwaka wa 1982 pia imepatikana picha akiwa ktk umri wa kijana...Inasemekana watu aliokuaga nao wengi kwa sasa ni wazee(vikongwe)ila yeye yupo ktk mwonekano wa kijana bado...Wataalam wa mambo wanadai huenda uyu mr Kaniki ni Time traveler... wengine huisi labda ni vampire.